书城首页 › 当代 › 大学教材 › 斯瓦希里语报刊阅读教程
当代·大学教材

斯瓦希里语报刊阅读教程

正版保障多仓发货48小时内发货2-3天送达可开发票
¥59.85 定价 ¥78.00 7.7折 立省 ¥18.15
仅剩 2 件 全新
商品参数
书名
斯瓦希里语报刊阅读教程
作者
敖缦云 编
出版社
中国传媒大学出版社
出版时间
2021-07-01
ISBN
9787565728594
货号
1202499311
品相
全新
分类
当代·大学教材
购物车(0)
商品参数
书名
斯瓦希里语报刊阅读教程
作者
敖缦云 编
出版社
中国传媒大学出版社
出版时间
2021-07-01
ISBN
9787565728594
货号
1202499311
品相
全新
分类
当代·大学教材
目录▼

Sura ya Kwanza: Habari kuhusu Siasa

ACT Wazalendo yajitenga na vurugu za kisiasa Tanzania 3

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani nchini 5

Bunge la Tanzania lataka malipo ya Tundu Lissu yasimamishwe 7

Bunge Tanzania lamfurusha bungeni Godbless Lema 9

CHADEMA yampitisha Lissu kupambana na Magufuli uchaguzi 2020 11

Idadi ya tembo Kenya yaongezeka katika miongo mitatu 13

Je misuguano ya kisiasa kati ya viongozi wa Afrika Mashariki inaathiri vipi utendakazi wa EAC 16

Kikwete-Wakoloni ‘wamechangia’ umaskini Afrika 19

Laizer akiri kupata jiwe kubwa baada ya miaka 15 21

Lipumba asema Lowasa aliingia upinzani kwa lengo la kusaka urais 23

Maalim Seif ajiunga na ACT Wazalendo 25

Magufuli achukua fomu ya urais 27

Magufuli aongoza Watanzania kumuaga Mkapa 29

Mbowe azungumzia “bajeti hewa” ya serikali 31

Mji wa Dar es Salaam wapata Mkuu mpya, Aboubakar Kunenge 33

Mtoto mwingine wa Karume ataka kuwa Rais wa Zanzibar 35

Ofisi ya Chadema Arusha yachomwa moto usiku 37

Polisi Tanzania yatishia kuwapiga waandamanaji kama “mbwa koko” 39

Rais wa zamani wa Tanzania Benjamin Mkapa azikwa 42

Samia Suluhu hatogombea urais wa Zanzibar 45

Serikali za Tanzania, Kenya na Uganda zawasilisha Bajeti Kuu 48

Tanzania: Magufuli akutana na viongozi wa upinzani 51

Sura ya Pili: Habari kuhusu Uchumi

Barabara ya kwanza ya juu kujengwa Dar-es-Salaam 55

Benki ya Dunia yasema ukuaji wa uchumi wa Tanzania kuongezeka 2020 japo si kwa 7% 58

Benki ya Tanzania yasitisha ubadilishanaji wa fedha na Kenya kudhibiti fedha haramu 61

Bodi ya Utalii Tanzania yafanya mkutano na mabalozi Asia na Australia kujadili mikakati ya kutangaza Utalii 64

Changamoto za safari ndefu kutoka Tanzania kuelekea Zambia kwa utumizi wa Reli ya Tazara 66

Corona virus: Jinsi utalii unavyoathiriwa na hofu ya virusi vya Corona Zanzibar 71

Hatima ya mkopo wa Benki ya Dunia kwa Tanzania haijulikani 73

Mtanzania Saniniu Kuryan Laizer agundua tena jiwe lenye thamani ya mabilioni 75

Rais Magufuli amelizindua rasmi Daraja la juu la Mfugale Tanzania 77

Rais Magufuli atangaza kuhamia Dodoma rasmi 82

Sababu kuu zilizoifanya Tanzania kufikia uchumi wa kipato cha kati 85

Sababu ya vurugu kukumba Magari ya Mwendokasi Tanzania 88

Tanzania: Sekta ya kilimo yakua kwa asilimia tano 92

Tanzania-Wafugaji kunufaika na kiwanda cha mbolea 93

Tanzania: Waziri wa Maliasili aonywa na rais 95

Tanzania yaahidi kulinda mradi wa Reli ya TAZARA 97

Tanzania yapiga marufuku safari za ndege za Kenya kuingia kwenye anga lake 99

Virusi vya Corona: Kenya yaruhusu ndege za nchi 11 pekee kutua viwanja vya Kenya 101

Vyama vya korosho vyadaiwa kulipa wakulima hewa 103

Wakulima wa nyanda za juu watakiwa kukumbatia kilimo cha mazao lishe 106

Sura ya Tatu: Habari kuhusu Jamii

Ajali ya Morogoro: Idadi ya vifo yafikia 100 111

Bilionea Mo Dewji azungumza na BBC kuhusu siku tisa za kutekwa na watu wasiojulikana Tanzania 114

Dodoma sasa kujengwa Uwanja Mpya wa Taifa 120

DSTV, AZAM na ZUKU zatakiwa kuonyesha bure vipindi vya stesheni za Tanzania 122

Elimu kwa jamii kuhusu kuzuia kuenea kwa virusi vya Corona Tanzania 124

Jinsi wasanii wa Afrika Mashariki wanavyopambana kupitia vipaza sauti kuleta mabadiliko 126

Maelfu wajitokeza kuomboleza kifo cha Ruge Mutahaba 132

Matukio ya ‘wasiojulikana’ yaliyoibua gumzo nchini Tanzania 134

Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania afariki 140

Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Reginald Mengi azikwa 142

TCRA yataja wamiliki wa Wasafi TV, Kusaga hakutajwa 144

Virusi vya Corona: Taarifa ambazo si sahihi kuhusu Corona zimetapakaa Afrika? 146

Wanafunzi wasichana wapata ugonjwa wa kuanguka 150

Sura ya Nne: Habari kuhusu Mchezo na Burudani

Alikiba afunguka kuhusu bifu yake na Diamond Platnumz 155

Diamond na Etoo kuanzisha chuo cha mafunzo ya mpira 157

Diamond Platnumz ateuliwa balozi wa kukabiliana na Ukimwi Tanzania 159

Diamond Platnumz amsajili baba yake katika lebo ya WCB 161

Harmonize “angara” katika tuzo za muziki za MTV Ulaya 163

Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania asema maisha magumu yamechangia ushindi wake 166

Kili Challenge: Msanii Diamond Platnumz arudia njiani 168

Kipchoge aweka historia katika mbio za marathon 170

Klabu ya Yanga yamfukuza kocha wake kutokana na matumizi ya lugha mbaya 172

Mabadiliko ndani ya Simba SC Tanzania ni muamko mpya? 174

Mbwana Samatta: Sababu zilizoifanya Aston Villa kumsajili mshambuliaji wa Tanzania 178

Mr. Puaz: Meneja wa zamani wa Harmonize asema msanii huyo ataimarika zaidi nje ya WCB 181

Mwakinyo amshinda Mfilipino kwa pointi, Kiduku ashinda TKO 185

Sauti za Busara: Siku nne za burudani ya muziki na tamaduni zaadhimishwa visiwani Zanzibar 187

SOKA: Sakata la Morrison sasa Yanga kuiburuza Simba Fifa 189

Swahiliflix kunadi filamu za Kiswahili kimataifa 191

Tanzania yaongoza katika nyimbo kumi bora za Afrika Mashariki 2019 193

Timu ya Taifa ya Karate Tanzania kushiriki Mashindano ya Dudia Japan Oktoba 197

Yanga yamtia kitanzi Kamusoko miaka 199

Zuchu, Malkia Mpya WCB: Yaliyomo yamo? 201

文摘▼

本书从具有代表性的斯瓦希里语主流媒体报刊中精选了75篇新闻原文,涉及政治、经济、文化、体育和娱乐四个领域,内容新颖,贴近生活,语言表达生动,实用性强。本书主要面向我国开设斯瓦希里语专业的高等院校,供本科二年级或三年级学生进行课堂教学或课外阅读使用,旨在使学生通过阅读扩充词汇量,巩固语言基本功,优化知识结构,培养学生对于报刊新闻的阅读兴趣和阅读习惯,提高学生的话语分析能力,增进学生对于斯瓦希里语对象国国情的了解。同时,本书也可作为具有一定斯瓦希里语基础的语言爱好者的学习教材。

¥59.85
🛒购物车